
Kuhusu Sisi
Mchungaji, Nabii na Mtumishi wa Mungu
Prophet Edmound Mystic Ministry ni huduma ya kiroho inayolenga kuwafikia watu wanaopitia changamoto za maisha — ndoa, familia, biashara, kazi na afya ya roho — kwa maombi, ushauri na Neno la Mungu.
Kuona kila mtu akiishi maisha ya imani, amani na matumaini katika Kristo.
Management yetu inapatikana muda wote kukusikiliza, kukuuliza maswali machache kuhusu hali yako, kukupa mstari wa Biblia, na kupeleka taarifa zako kwa Nabii ili akuwasiliane nawe.